BADO KIDOGO LYRICS-BEN POL FT WYSE Walimwengu wakubeza na wengine wakucheka
Mwelekeo umepoteza hata mbele huoni tene
Nyumbani njaa kali kazini tafrani banki una deni
Biashara imefaili
Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili
Kabla ya jua kuzama una mambo mengi
Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa
Na kabla ya jua kuzama utaona mengi
Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa

Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)

Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)

Ukifaili isijione haufai
Give thanks and praise to the Most High
Naona unavyofuta machozi wewe
Na shida unazopata ili kusonga mbele
Hatua ziko chache ili kufika kule
Pambana usiyumbishwe na zao kelele
Nakuona unapigania haki simama utashinda

Na wao tu hawajui mangapi yanayokukabili
Kabla ya jua kuzama una mambo mengi
Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa
Na kabla ya jua kuzama utaona mengi
Yaliyofungwa kwako wee yatafunguliwa

Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)

Usione kama vile jua lakuchoma peke yako
Usione kama vile giza limetanda tu kwako

Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh bado kidogo (bado kidogo)
Oh bado kidogo (bado kidogo) oh usife moyo (bado kidogo)
BADO KIDOGO LYRICS-BEN POL FT WYSE BADO KIDOGO LYRICS-BEN POL FT WYSE Reviewed by hitsloaded on January 07, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.